UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE
👉Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus) ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho
💫Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari
1️⃣ Kisukari type 1
2️⃣Kisukari type 2
📌 KISUKARI TYPE 1
👉 hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha
💫
DALILI ZA KISUKARI TYPE1
👉 Kuhisi kiu sana
👉 Mdomo kuwa mkavu sana
👉 Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
👉 Kiungulia na kichefu chefu kikali
👉 Kukojoa mara kwa mara
👉 Kuhisi njaa kila wakati
👉 Mwili kukosa nguvu
👉 Jasho sana hasa nyakati za usiku
👉 Kushindwa kujiamini
2️⃣ DIABETES TYPE 2
💫hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu wazima umri kuanzia miaka 45 plus hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa au hufanya kazi kwa kiasi kidog sana hivyo kushindwa kupambana na sukari
💫SABABU MBADALA ZINAZOSABABISHA UGONJWA WA SUKARI
↘️Ulevi hasa wa pombe kali
↘️Uvutaji wa sigara
↘️Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic
↘️Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani vyenye kemikali
⚠️ MATATIZO MENGINE
YANAYOSABABISHWA NA SUKARI
💫Magonjwa ya moyo
💫Kiharusi
💫Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vzr
💫Figo kufeli n.k.
#Kisukari #ugonjwawakisukari #dalili #madhara #tiba #bfsuma #diamond #israel
Unaweza kutupigia Kwa ushauri zaidi
+255 781 526 336
.jpeg)
0 Comments