Tibu bawasiri



 TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*


*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*

➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa


       *CHANZO CHA BAWASIRI**

➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva

➖ Tatizo sugu la kuharisha

➖ Ujauzito

➖ Uzito wa mwili kupita kiasi

➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)

➖ Kupata haja kubwa ngumu

➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni

➖ Kunywa pombe

➖ Kula sana nyama nyekundu

➖ Vidonda vya tumbo

➖ Ngiri(Chango/Hernia

➖ Kula sana pilipili

➖ Kunyanyua vitu vizito


           *DALILI ZA BAWASIRI**

➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa

➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

➖ Kupata kinyesi chenye damu

➖ Kupata maumivu makali wakati wa

 kujisaidia haja kubwa

➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa 

➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa

➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda

➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu) 

        

      *MADHARA YA BAWASIRI*

➖ Upungufu wa damu mwilini

➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)

➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

➖ Kupata tatizo la kisaikolojia Kutopata ujauzito

➖ Mimba kuharibika


Tunatoa Tiba Kwa Kutumia Bidhaa Za Virutubisho lishe visivyo na Kemikali vyenye Uwezo wa kuondoa Bawasili bila Upasuajii 

Post a Comment

0 Comments